1 Chronicles 6:33-44

33 aWafuatao ni watu waliohudumu pamoja na wana wao:

Kutoka ukoo wa Kohathi walikuwa:
Hemani, mpiga kinanda,
alikuwa mwana wa Yoeli, mwana wa Samweli,
34 bmwana wa Elikana, mwana wa Yerohamu,
mwana wa Elieli, mwana wa Toa,
35mwana wa Sufu, mwana wa Elikana,
mwana wa Mahathi, mwana wa Amasai,
36mwana wa Elikana, mwana wa Yoeli,
mwana wa Azaria, mwana wa Sefania,
37 cmwana wa Tahathi, mwana wa Asiri,
mwana wa Ebiasafu, mwana wa Kora,
38 dmwana wa Ishari, mwana wa Kohathi,
mwana wa Lawi, mwana wa Israeli;
39 ena msaidizi wa Hemani alikuwa Asafu, aliyesimama mkono wa kuume:
Asafu mwana wa Berekia, mwana wa Shimea,
40mwana wa Mikaeli, mwana wa Baaseya,
mwana wa Malkiya,
41mwana wa Ethni,
mwana wa Zera, mwana wa Adaya,
42mwana wa Ethani, mwana wa Zima,
mwana wa Shimei,
43mwana wa Yahathi,
mwana wa Gershoni, mwana wa Lawi.
44Na kutoka kwa walioshirikiana nao, Wamerari, mkono wake wa kushoto:
Ethani mwana wa Kishi, mwana wa Abdi,
mwana wa Maluki,
Copyright information for SwhNEN